TIBA YA UGONJWA WA NGIRI NDUGU WASOMAJI KWA MWENYE KUSUMBULIWA NA NGIRI ATUMIE DAWA HII Mwifu/mvule kiasi cha vijiko vitatu weka katika maji lita tano iwache kwa muda wa saa 12 MATUMIZI kunywa kikombe kimoja cha chai asubuhi mchana na jioni kwa muda wa wiki moja
BLOG HII IMEANZISHWA KWA LENGO LA KUTOA ELIMU KUHUSIANA NA TIBA NA MAMBO MBALIMBALI YA KIJAMII Kwa maswali ushauri tiba wasiliana nasi drahmash@gmail.com +255 685 306 407 +255 652 886 93