Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2017

RIPOTI MAALUMU: Hiki ndicho kiini cha mauaji Pwani

Kwa ufupi Ingawa mamlaka zimeendelea kusimamia kile kinachoonekana kuwa makubaliano ya kutozungumza ni kwa nini, na ni nani anayetekeleza mauaji hayo, uchunguzi wa gazeti hili pamoja na maelezo ya wananchi na viongozi wao yanatoa mwanga juu ya kiini na sababu za mauaji hayo. Habari FRIDAY, MAY 26, 2017 RIPOTI MAALUMU: Hiki ndicho kiini cha mauaji Pwani  0             By Mwandishi Wetu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz Rufiji/Kibiti. Nadharia nyingi zimeibuka juu ya lengo la watu wanaofanya mfululizo wa mauaji katika maeneo kadhaa ya Mkoa wa Pwani, lakini uchunguzi wa gazeti la Mwananchi umebaini kuwa uonevu na dhuluma ya muda mrefu wanayofanyiwa wananchi na kuenea kwa kasi kwa mafundisho ya dini yenye msimamo mkali ndizo sababu kuu. Ingawa mamlaka zimeendelea kusimamia kile kinachoonekana kuwa makubaliano ya kutozungumza ni kwa nini, na ni nani anayet...