Asalamu alaykum ugonjwa wa bawasiri pia wajulikana kama mgoro au mjiko ni miongoni mwa magonjwa yalioenea katika ulimwengu na yenye madhara makubwa kwa maisha na afya ya mwanadamu kwa ujumla kuna aina zaidi ya 12 za bawasiri miongoni mwazo ni; kutoka nyama katika njia ya haja kubwa [futuru] anal fissure [kuchanika katika njia ya haja kubwa ] skin tab [kutoka kinyama kirefu kutokea ndani katika njia ya haja kubwa hasa mtu anajisaidia au kuchuchumaa external hemorrhoids [kuota kinyama pembezoni mwa mzunguko wa njia ya haja kubwa kwa nje internal hemorrhoids[kuota kinyama kwa ndan katika njia ya haja kubwa SABABU ZA KUPATA BAWASIRI Kuingiliwa utupu wa nyuma hasa ikiwa uume ni mkubwa kuharisha kwa muda mrefu kuzaa kuinua vitu vizito kuchutama sana chooni kujikamua sana wakati wa kwenda haja kubwa kutokupata mlo kamili DALILI ZAKE Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa au kuchuch...
BLOG HII IMEANZISHWA KWA LENGO LA KUTOA ELIMU KUHUSIANA NA TIBA NA MAMBO MBALIMBALI YA KIJAMII Kwa maswali ushauri tiba wasiliana nasi drahmash@gmail.com +255 685 306 407 +255 652 886 93