Ruka hadi kwenye maudhui makuu

UGONJWA WA BAWASIRI {HEMORRHOIDS}

  Asalamu alaykum
              ugonjwa wa bawasiri pia wajulikana kama mgoro au mjiko ni miongoni mwa magonjwa yalioenea katika ulimwengu na yenye madhara makubwa kwa maisha na afya ya mwanadamu kwa ujumla  kuna aina zaidi ya 12 za bawasiri miongoni mwazo ni;
  1. kutoka nyama katika njia ya haja kubwa [futuru]
  2. anal fissure [kuchanika katika njia ya haja kubwa ] 
  3. skin tab [kutoka kinyama kirefu kutokea ndani katika njia ya haja kubwa hasa mtu anajisaidia au kuchuchumaa
  4. external hemorrhoids [kuota kinyama pembezoni mwa mzunguko wa njia ya haja kubwa kwa nje
  5. internal hemorrhoids[kuota kinyama kwa ndan katika njia ya haja kubwa 
SABABU ZA KUPATA BAWASIRI
  1. Kuingiliwa utupu wa nyuma hasa ikiwa uume ni mkubwa
  2. kuharisha kwa muda mrefu
  3. kuzaa
  4. kuinua vitu vizito
  5. kuchutama sana chooni
  6. kujikamua sana wakati wa kwenda haja kubwa
  7. kutokupata mlo kamili
DALILI ZAKE
  1. Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa au kuchuchumaa
  2. kutokwa jasho sana utupu wa nyuma
  3. kutokwa harufu mbaya katika utupu wa nyuma
  4. kujisaidia kulipochanganyika na damu {hii inataka uonane na daktaktari kwakuwa ni magonjwa mengi huleta tatizo hili kama ngiri,vidonda vya tumbo n.k}
  5. kuona kinyama katika utupu wa nyuma
  6. kuotaota ndoto za mapenzi
  7. kuwashwa katika utupu wa nyuma
MADHARA YA BAWASIRI
  1. kiuno kuuma na kukaza sana
  2. kuumwa miguu
  3. kutosikia hamu ya tendo la ndoa 
  4. kuwashwa sana ktika utupu wa nyuma
  5. kuwahi kufika kileleni na kukosa nguvu ya tendo la ndoa
  6. macho kutoona vizuri
  7. mwili kuchoka choka ovyo hasa majira ya asubuhi
  8. kifo
MATIBABU
Matibabu ya bawasiri huweza kufanyika kwa kufanyiwa upasuaji au waweza kutumia dawa hizi kwa kuondoa tatizo hilo
chukua
  1. msemelele vijiko vitano vya chakula
  2. mmelemele vijiko vitano vya chakula
  3. muharaka vijiko vitano vya chakula
dawa zote ziwe za unga zichanganye hadi zichanganyike vizuri
MATUMIZI
KUNYWA KIJIKO KIMOJA CHA MCHANGANYIKO WAKO KATIKA MAJI YA UVUGUVUGU AU UJI MWEPESI ASUBUHI NA JIONI KWA MUDA WA WIKI MOJA IN SHAA ALLAH ALLAH ATAKUVUA MARADHI HAYO

                                   KWA MASWALI USHAURI TIBA NA DUA WASILIANA NAMI KWA 
                  +255 685 306 407
                  +255 652 886 693
                  Drahmash@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MTAMBUE JINI MAHABA NA TIBA YAKE

ASALAMU ALAYKUM M aisha ya mwanadamu yamezungukwa na misukos uko na mitihani mbalimbali ambayo wakati mwingine humfanya ajione tofauti na kujiona mwenye kukosa thamani ya maisha, miongoni mwa matatizo ambayo huyapata wengi katika ulimwengu tulionao ni tatizo la jini mahaba nalo huwa pa watu weng i fadhaiko na kukosa amani na raha ya maisha  JINI MAHABA NI NINI? J ini mahaba ni jini {pepo,shetani} yeyote alie muingia mwanaadamu kwa lengo la kufanya nae uchafu wa zinaa. VIPI ANAWEZA KUMUINGIA MTU?     J ini mahaba hu waingia watu kwa sababu nyingi m iongoni mwazo ni kulala bila ya nguo au nguo nye pesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za jo to 2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi} 3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama waki wa uchi 4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua {hii hupelekea kuingiwa hasa ...

FAIDA ZA KITUNGUU SWAUM

KITUNGUU THAUM (Swaumu/Saumu): Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa na viinilishe vingi na mhimu sana kwa afya ya binadamu ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu ni dawa karibu kwa kila ugonjwa. Kitunguu swaumu ni jamii ya vitunguu ambayo kwa kitaalamu huitwa Allium sativum . Jamii hii ilianza kutumika katika mabara mbalimbali duniani hususani Asia, Afrika na Ulaya takribani miaka 6000 iliyopita. Matumizi makuu nyakati hizo yakiwa viungo katika mboga na tiba. Kitunguu swaumu kimetajwa kwenye vitabu mbalimbali vya dini vikielezea faida zake katika kutibu maradhi mbalimbali yasababishwayo na bakteria, matatizo katika mapafu, matatizo katika mfumo wa umen’genyaji chakula, na matatizo ya kuishiwa nguvu. Historia inaonyesha kuwa, vitunguu swaumu vilianza kutumika nchini China mwaka 510 kabla ya Kristo na pia vilitumiwa na wanajeshi wa Ugiriki na Warumi. Aidha wasafiri wa vyombo vya baharini na vijijini pamoja na wakulima barani Afrika walivitumia sana. Kuna baadhi ya ...

JINI GHAWAAS NA TIBA YAKE

Jini ghawaas na tiba yake ghawas ni neno la kiarabu lenye maana ya mzamiaji *mpiga mbizi* mara nyingi linapotumiwa neno hili hukusudiwa anaezamia ili kutafuta madini ktk bahari km lulu n.k kama vile ilivyokuwa kwa nabii suleymaan a.s ktk sura ya 38 allah anasemaوَالشَّيَاطِينَ كُلَّ بَنَّاءٍ وَغَوَّاص ٍ Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi. wakikusudiwa majinu waliokuwa wakifanya kazi ya kuzamia baharini kutafuta lulu na madini mengine baharini majini hawa wameitwa ghawas kwa sababu ya kuishi kwao ktk vyanzo vya maji na kupendelea sana maeneo yenye majimaji vipi humuingia mwanadamu jinu huyu humuingia mtu mara nyingi kwa kutumwa na wachawi  au kuchokozwa hasa kwa wale wenye kuogolea bila kupiga bismilahi kupiga makelel...