Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2017

JINI GHAWAAS NA TIBA YAKE

Jini ghawaas na tiba yake ghawas ni neno la kiarabu lenye maana ya mzamiaji *mpiga mbizi* mara nyingi linapotumiwa neno hili hukusudiwa anaezamia ili kutafuta madini ktk bahari km lulu n.k kama vile ilivyokuwa kwa nabii suleymaan a.s ktk sura ya 38 allah anasemaوَالشَّيَاطِينَ كُلَّ بَنَّاءٍ وَغَوَّاص ٍ Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi. wakikusudiwa majinu waliokuwa wakifanya kazi ya kuzamia baharini kutafuta lulu na madini mengine baharini majini hawa wameitwa ghawas kwa sababu ya kuishi kwao ktk vyanzo vya maji na kupendelea sana maeneo yenye majimaji vipi humuingia mwanadamu jinu huyu humuingia mtu mara nyingi kwa kutumwa na wachawi  au kuchokozwa hasa kwa wale wenye kuogolea bila kupiga bismilahi kupiga makelel...