Ruka hadi kwenye maudhui makuu

MTAMBUE JINI MAHABA NA TIBA YAKE

ASALAMU ALAYKUM

Maisha ya mwanadamu yamezungukwa na misukosuko na mitihani mbalimbali ambayo wakati mwingine humfanya ajione tofauti na kujiona mwenye kukosa thamani ya maisha,

miongoni mwa matatizo ambayo huyapata wengi katika ulimwengu tulionao ni tatizo la jini mahaba nalo huwapa watu wengi fadhaiko na kukosa amani na raha ya maisha 

JINI MAHABA NI NINI?

Jini mahaba ni jini {pepo,shetani} yeyote alie muingia mwanaadamu kwa lengo la kufanya nae uchafu wa zinaa.

VIPI ANAWEZA KUMUINGIA MTU? 

 Jini mahaba huwaingia watu kwa sababu nyingi miongoni mwazo ni

  1. kulala bila ya nguo au nguo nyepesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za joto

    2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi}

    3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama wakiwa uchi

    4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua {hii hupelekea kuingiwa hasa na majini aina ya ghawwaas]

    5.kutupiwa na wachawi{mchawi huweza kumuita shetani kichawi na akafanya nae makubaliano na kufunga mkataba kisha akatumwa shetani akuingie }

    6. kuingia chooni bila dua {vyooni kuna majini aina na khubuth na khabaaith hivyo anaeingia bila ya dua anaweza kukumbwa na majini hawa na watu wengi wanaoanguka chooni huwa ni kwa kuangushwa na aina hii ya majini}

    DALILI ZAKE

    majini mahaba huwa na dalili nyingi na hutofautiana kutegemeana na aina ya jini alie kuingia

    1. ndoto za kufanya jimai mara kwa mara hasa na mtu unae muheshimu km kaka dada mama baba nk {si kila ndoto ya kufanya mapenzi ni dalili ya jini wakati mwingine ndoto ya kuota unafanya jimai hadi kufikia mshindo hutafsiriwa kama kupata wepesi na mafanikio katika mambo ya muotaji

    2. kuharibika ujauzito bila sababu za kidaktari

    3. kuchukia tendo la ndoa kuoa au kuolewa na hata kumchukia mwenza wako akiwa karibu nawe na hujihisi kumpenda sana akiwa mbali

    4.ndoto za kuota unazaa kunyonyesha au kulea mtoto

    5. mwanamama kuvurugikiwa siku za hedhi

    6.maumivu makali chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa au hedhi[hili husababishwa pia na vitu mbali mbali km mgoro na baadhi ya bakteria wanao shambulia viungo vya uzazi

    7. kutosikia hamu ya tendo la ndoa bila sababu za kidaktari

    8. ujauzito kutoweka baadhi ya nyakati na mjamzito kuhisi km hana kabisa ujauzito

    9. kupenda sana maasi na kuchukia dhikri na ibada

    10. mipango kuharibika bila sababu za msingi

    11. kutokuwa na nguvu za kijinsia bila sababu za kidaktari

    12. kujihisi umeonewa hadi unafikia kulia bila sababu

    13. moyo kwenda mbio bila sababu za kidaktari

    14. kifua kuwa kizito km umebeba mzigo au kichwa

    15.kuota ndoto za kweli wakati sio mchamungu

    16.ndoto za kukimbizwa na wanyama wakali km simba nyoka chui nk

    17.kupiga kelele bila sababu na unashindwa kujizuia 

    hizi ni baadhi tu ya dalili zipo nyingi sana

    MADHARA YAKE

    jini huyu anapomuingia mwanadamu huweza kumpatia madhara yafuatayo

    1.kuchukia kuoa au kuolewa

    2.kuchukia watu wa jinsia tofauti

    3. kutopata mtoto

    4. kuvurugikiwa mambo yake bila sababu za msingi

    5. gundu [an kis]

    6.kuchukiwa bila sababu n.k

    TIBA YAKE

    Chukua dawa zifuatazo

    1. manemane mruturutu kiberiti upele na karafuu maiti changanya ujazo sawa atumie kujifukiza asubuhi na jioni

    2. chukua mafuta ya mkunazi zaituni habatisaudaa, ndimu na kitunguu swaumu ujazo sawa ila zaituni yatakiwa kuwa mara mbili ya ujazo wa mafuta mengine weka miski ya unga kijiko kimoja cha chakula tumia kujipaka asubuhi na muda wa kulala kwa muda wa wiki tatu mfululizo


    pia ni vyema ukapatiwa kisomo cha ruqya               

              

   

kwa maoni maswali ushauri na tiba wasiliana na dr ahmash
+255 685 306 407
+255 652 886 693
drahmash@gmail.com

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

ASALAMU ALAYKUM     katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya jiji la dar na ulimwengu kwa ujumla imekuwa ni jambo la kawaida kuona mara kwa mara uuzwaji wa zinazoitwa dawa za kuongeza nguvu za kiume            jambo ambaloz amani halikuwepo kwani watu waliweza kuwa na nguvu za kutosha kulimudu tendo la ndoa bila kuhitajia dawa yoyote ile leo imekuwa kama desturi kama hujui dawa ya nguvu za kiume wewe hutakuwa mganga na hutapata mtu wa kumtibu kwani ni zaidi ya asilimia 60% ya wtakao hitaji tiba watahitaji dawa ya nguvu za kiume jambo lililonipelekea kuandika makala hii ambayo nataraji itakuwa na manufaa kwa wengi  NGUVU ZA KIUME Ni hali ya mtu kuweza kumudu tendo la ndoa na kiasili hakuna ugonjwa wa nguvu za kiume bali kuna upungufu wa nguvu za kiume NINI CHANZO CHA TATIZO HILI kuna sababu nyingi znazopelekea upungufu wa nguvu za kiume miongoni mwazo ni; kuugua kwa mu...

tiba ya pumu

TIBA YA KIFUA CHA PUMU Wednesday, September 14, 2016 8:19 PM Kwa wenye kusumbuliwa na pumu tafuta dawa inayoitwa lufyambo chukua majani yake kiasi cha ujao wa viganja viwili chemsha katika maji lita moja na nusu weka ndimu za maji kumi iache ichemke hadi ibakie nusu lita tumia kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili in shaa alla utapona            Huu ndio waitwa lufyambo Kwa maswali tiba maoni na ushauri +255 652 886 693 Whatsapp +255 685 306 407 Email. Drahmash@gmail.com