Ruka hadi kwenye maudhui makuu

TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

ASALAMU ALAYKUM
    katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya jiji la dar na ulimwengu kwa ujumla imekuwa ni jambo la kawaida kuona mara kwa mara uuzwaji wa zinazoitwa dawa za kuongeza nguvu za kiume

          
jambo ambaloz amani halikuwepo kwani watu waliweza kuwa na nguvu za kutosha kulimudu tendo la ndoa bila kuhitajia dawa yoyote ile
leo imekuwa kama desturi kama hujui dawa ya nguvu za kiume wewe hutakuwa mganga na hutapata mtu wa kumtibu kwani ni zaidi ya asilimia 60% ya wtakao hitaji tiba watahitaji dawa ya nguvu za kiume jambo lililonipelekea kuandika makala hii ambayo nataraji itakuwa na manufaa kwa wengi
 NGUVU ZA KIUME
Ni hali ya mtu kuweza kumudu tendo la ndoa na kiasili hakuna ugonjwa wa nguvu za kiume bali kuna upungufu wa nguvu za kiume

NINI CHANZO CHA TATIZO HILI
kuna sababu nyingi znazopelekea upungufu wa nguvu za kiume miongoni mwazo ni;
  1. kuugua kwa muda mrefu
  2. matatizo ya ngiri.   hili ni katika janga kubwa miongoni mwa majanga makubw yanayopelekea upungufu wa nguvu za kiume tatizo hili linatibika na baada ya kutibiwa tu mtu huweza kumudu tendo bila wasiwasi wowote
  3. kisukari 
  4. msongo wa mawazo
  5. uchafu kwa washiriki wa tendo hili pia huchangia ka kiasi kikubwa wakuta mtu anuka kikwapa mijasho kibao ndo aingia uwanjani basi ile harufu tuu ukiisikia hamu yote yaisha na perfomance lazima itakuwa ndogo
  6. maandalizi madogo [katika kuliendeo tendo la ndoa kwahitajika maandalizi kumuandaa mke ili kuwa tayari kuingia katika tendo kimaumbile wanawake hutumia muda mrefu kufika kileleni  tafiti mbalimbali zaonesha mwanamke hutumia dakika 9 hadi 11 wakati mwanaume hutumia sekunde 30 hadi kakika 5 kwahivyo km mke hakuandaliwa vyema kwa kucheza nae kabla ya kumuingilia tarajia kutomfikisha kileleni]
  7. vyakula ....hapa napo ni tatizo wakuta mtu asubuhi kanywa chai na vitumbua mchana ugali na samaki wa kukaanga usiku wali maharage hakuna matunda wala mboga za majani zaidi anunua maji baridi na kuyafakamia wengine ndo hujifanya wanaishi kizungu dume zima lashindia vichipsi yai na kuku teja alafu uwe na uwezo wa kumudu tendo ah wapi labda kwa miujiza
  8. kukinaishwa na kuona vichochezi vya jimai hili nalo ni taizo wakuta mtu anafanya kazi kaweka sekretari wa kike kutwa yupo nae na amevaa mavazi yanayomuonesha maumbile yake muda woote anamfikiria sekretari kiasi akirudi hamu ilisha pungua huku mitaani ndio balaa kabisa kila utazamapo wanawake wapo na nguo za kulalia hapo utakuta mtu akodolea macho tuu mwisho ni kuwa hamu inapungua na kushindwa kumfikisha mwenza
  9. kutazama picha za ngono hili pia ni janga tafiti zaonesha kuwa kisaikolojia mtazamaji wa picha za ngono huwa hawezi kufurahia tendo na mwanamke alie nae hadi avute taswira ya mwanamke aliemuona katika picha ya ngono hali inayopelekea kushindwa kulimudu vyema awapo faragha
  10. kupiga punyeto hili limewaumiza vijana wengi baada ya kushindwa kuoa hukimbilia kujichua ili kupunguza matamanio yao jambo hili lina madhara mengi kwa mwanadamu kama vile
  • kulegeza misuli ya uume na kufanya mtu kushindwa kumudu tendo
  • kusababisha uzito katika kusikia
  • hupunguza nuru ya macho 
  • husababisha utasa
11.matatizo ya jini mahaba hili 
tulilizungumzia na kuelezea tiba yake

TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tiba ya tatizo hili ni kuondoa sababu ya kupungua nguvu kama ni kisukari tibia sukari ikipona nguvu zitarudi halo kadhalika ngiri na mengineyo

kwa ambao walikuwa wakipiga punyeto au waliumwa kwa muda mrefu yatakiwa  dawa za kuimarusha misuli ya uume

DAWA YA KUIMARISHA MISULI YA UUME
chukua dawa hizi Kwa ujazo sawa
1.mdaula
2.mgosi hagona
3.mkuyati
4.Mwinga jini
5.mkundekunde
zichanganye pamoja kisha chukua vijiko vinne vya mchanganyiko huo uweke katika asali mbichi nusu Lita
MATUMIZI
kunywa vijiko vitatu asubuhi mchana na muda wa kulala hadi dawa iishe in shaa allah utakuwa na NGUVU za kutosha

Kwa maswali ushauri na tiba wasiliana nami
call: +255 652 886 693
whatsapp: +255 685 306 407
email: drahmash@gmail.com




Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MTAMBUE JINI MAHABA NA TIBA YAKE

ASALAMU ALAYKUM M aisha ya mwanadamu yamezungukwa na misukos uko na mitihani mbalimbali ambayo wakati mwingine humfanya ajione tofauti na kujiona mwenye kukosa thamani ya maisha, miongoni mwa matatizo ambayo huyapata wengi katika ulimwengu tulionao ni tatizo la jini mahaba nalo huwa pa watu weng i fadhaiko na kukosa amani na raha ya maisha  JINI MAHABA NI NINI? J ini mahaba ni jini {pepo,shetani} yeyote alie muingia mwanaadamu kwa lengo la kufanya nae uchafu wa zinaa. VIPI ANAWEZA KUMUINGIA MTU?     J ini mahaba hu waingia watu kwa sababu nyingi m iongoni mwazo ni kulala bila ya nguo au nguo nye pesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za jo to 2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi} 3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama waki wa uchi 4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua {hii hupelekea kuingiwa hasa ...

tiba ya pumu

TIBA YA KIFUA CHA PUMU Wednesday, September 14, 2016 8:19 PM Kwa wenye kusumbuliwa na pumu tafuta dawa inayoitwa lufyambo chukua majani yake kiasi cha ujao wa viganja viwili chemsha katika maji lita moja na nusu weka ndimu za maji kumi iache ichemke hadi ibakie nusu lita tumia kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili in shaa alla utapona            Huu ndio waitwa lufyambo Kwa maswali tiba maoni na ushauri +255 652 886 693 Whatsapp +255 685 306 407 Email. Drahmash@gmail.com