Ruka hadi kwenye maudhui makuu

tiba ya pumu


TIBA YA KIFUA CHA PUMU
Wednesday, September 14, 2016
8:19 PM
Kwa wenye kusumbuliwa na pumu tafuta dawa inayoitwa lufyambo chukua majani yake kiasi cha ujao wa viganja viwili chemsha katika maji lita moja na nusu weka ndimu za maji kumi iache ichemke hadi ibakie nusu lita tumia kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili in shaa alla utapona

          Huu ndio waitwa lufyambo


Kwa maswali tiba maoni na ushauri
+255 652 886 693
Whatsapp +255 685 306 407
Email. Drahmash@gmail.com

Maoni