Uduni wa fikra umewafanya wakaazi wa tz kujadili ndege katika kiwango cha taifa na matangazo ya kitaifa na mapokezi ya kitaifa
Kwa ulimwengu ulipo fikia ndege ni kitu cha kawaida ambacho watu binafsi wana miliki
Mjadala huu ungekuwa na thamani lau tanzania ingekuwa imejaribu kutengeneza ndege lakini zenye kiwango duni cha pangaboi kama wenye kulaumu waanavyo shadidia juu ya hilo
Ni uduni wa kiwango cha kutia aibu kwa dunia ya leo serikali kujifia kununua ndege badala ya kutengeneza
Ni duni mkubwa wa mawazo wapinzani wa ununuzi wa ndege hizo akili zao kukomea kwenye kununua zimeshindwa kuvuka kwenye kutengeneza
Lakini walio duni zaidi ya duni ni watakao ona kuwaza kutengeneza haiwezekani au ni jambo kubwa sana hivyo bora kuishi kwa kununua
Huenda gharama ya kununua ndege hizo ingetumika kwenye hatua za utengenezaji ndege zingefikisha hatu fulani
Nchi ya viwanda sio inayo nunua viwanda na kuja kuvijenga nchini kwake hiyo itakuwa soko la viwanda kutoka nchi za viwanda
Nchi ya viwanda ni inayo tengeneza mashine na ala za kutengenezea viwanda

Maoni