ASALAMU ALAYKUM M aisha ya mwanadamu yamezungukwa na misukos uko na mitihani mbalimbali ambayo wakati mwingine humfanya ajione tofauti na kujiona mwenye kukosa thamani ya maisha, miongoni mwa matatizo ambayo huyapata wengi katika ulimwengu tulionao ni tatizo la jini mahaba nalo huwa pa watu weng i fadhaiko na kukosa amani na raha ya maisha JINI MAHABA NI NINI? J ini mahaba ni jini {pepo,shetani} yeyote alie muingia mwanaadamu kwa lengo la kufanya nae uchafu wa zinaa. VIPI ANAWEZA KUMUINGIA MTU? J ini mahaba hu waingia watu kwa sababu nyingi m iongoni mwazo ni kulala bila ya nguo au nguo nye pesi sana bila ya kusoma dua hasa nyakati za jo to 2.wakati wa kufanya tendo la ndoa na wanandoa kusahau kusoma dua wakati wa tendo{na hapa ndipo huwaingia watu zaidi} 3.kujitazama ktk kioo kwa muda mrefu bila ya kusoma dua na hasa kwa wanaopenda kujitazama waki wa uchi 4.kuogelea ukiwa uchi katika vyanzo vya maji bila ya dua {hii hupelekea kuingiwa hasa ...
NENDA MZEE ‘NGOSHA’ MUDA WAKO UMEFIKA LAKINI UMEACHA SOMO Kutupwa na serikali kwa Mzee Ngosha (Francis Kanyasu) (86) aliyedaiwa kuchora Nembo ya Taifa ambae amefariki dunia karibuni kwenye matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni kielelezo cha hali na maisha ya wazee ndani ya Tanzania na ulimwengu wote wa kidemokrasia, licha ya mchango wao mkubwa. Ikiwa hiyo ndio hali ya mtu anaehisabiwa kutoa mchango muhimu kwa taifa. Vipi hali za wazee wengine hususan vijijini? Licha ya unaohesabiwa mchango mkubwa alioutoa, Mzee Ngosha alikuwa fukara wa ‘kutupwa’ akiishi kwenye kijichumba kimoja Buguruni, Malapa kwa hisani ya mwenye nyumba na majirani. Ni baada ya vyombo vya habari kuibua taarifa zake ndipo serikali ikajitoa kimasomaso kumpeleka Hospitali kwenda kumalizika. Demokrasia ni mfumo wa kinyama