Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Classical Scholars on Groups In Islam

Classical Scholars on Groups In Islam Mazin AbdulAdhim · There is a very common misconception that all groups are forbidden in Islam, and people regularly spread this idea throughout the Ummah. Any group that is not affiliated with the Saudi version of so-called “Salafiyyah” is immediately denounced as Hizybiyyah (partisanship) or Tafriqa (forming sects), and people are taught to not discuss with these groups, or sit with them, or associate with them. This incorrect idea is actually a relatively recent phenomenon (late 1700s to today), and it contradicts nearly everything that the classical scholars said on the issue. This post explains what the classical scholars said regarding the permissibility (actually, the obligation) of forming groups in Islam, including screenshots of these quotes below, and an explanation of where the line is drawn between *permissible* Islamic groups, and *invalid* unIslamic divisions. Allah (swt) says in Surat Aal-Imran, verse...

TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

ASALAMU ALAYKUM     katika maeneo mbalimbali ndani na nje ya jiji la dar na ulimwengu kwa ujumla imekuwa ni jambo la kawaida kuona mara kwa mara uuzwaji wa zinazoitwa dawa za kuongeza nguvu za kiume            jambo ambaloz amani halikuwepo kwani watu waliweza kuwa na nguvu za kutosha kulimudu tendo la ndoa bila kuhitajia dawa yoyote ile leo imekuwa kama desturi kama hujui dawa ya nguvu za kiume wewe hutakuwa mganga na hutapata mtu wa kumtibu kwani ni zaidi ya asilimia 60% ya wtakao hitaji tiba watahitaji dawa ya nguvu za kiume jambo lililonipelekea kuandika makala hii ambayo nataraji itakuwa na manufaa kwa wengi  NGUVU ZA KIUME Ni hali ya mtu kuweza kumudu tendo la ndoa na kiasili hakuna ugonjwa wa nguvu za kiume bali kuna upungufu wa nguvu za kiume NINI CHANZO CHA TATIZO HILI kuna sababu nyingi znazopelekea upungufu wa nguvu za kiume miongoni mwazo ni; kuugua kwa mu...

MH ALI SUUDI HAO sijui ni kwa dalili gani wameitumia

Saudi foreign minister: we are in dire need of Israeli military assistance to defeat Yemeni rebels; after all we are historically cousins - AWD News awdnews.com

Shaykh Swaalih Al-Fawzaan - Lipi Lenye Faida Zaidi; Kulingania Katika Da'awah Au Kutafuta Elimu Kwanza?

Lipi Lenye Faida Zaidi; Kulingania Katika Da'awah Au Kutafuta Elimu Kwanza? Shaykh Swaalih Al-Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)    SWALI: Ni jambo lipi katika haya mawili ni bora? Kutafuta elimu au kulingania watu kwa ajili ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa). Kwa sababu nilisikia baadhi ya makundi yakisema: "Da'wah kwa ajili ya Allaah ni yenye faida kubwa kulikoni kutafuta elimu." JIBU: Kutafuta elimu ni jambo la mwanzo kabisa, kwa sababu haiwezekani mtu kuweza kuwalingania watu katika Dini ya Allaah mpaka awe na elimu; ama akiwa hana elimu basi hawezi kuwalingania watu katika Dini ya Allaah, na ikiwa atafanya (Da'wah) basi atakayokosea yatakuwa makubwa zaidi kuliko atakayopatia. Kwa hiyo, ni sharti kwa Mlinganiaji kuwa na elimu kabla ya kuanza kulingania watu; haya ni kutokana na kauli Yake Allaah: قُلْ هَـٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّـهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَ سُبْحَانَ...

UDUNI WA FIKRA

Uduni wa fikra umewafanya wakaazi wa tz kujadili ndege katika kiwango cha taifa na matangazo ya kitaifa na mapokezi ya kitaifa Kwa ulimwengu ulipo fikia ndege ni kitu cha kawaida ambacho watu binafsi wana miliki Mjadala huu ungekuwa na thamani lau tanzania ingekuwa imejaribu kutengeneza ndege lakini zenye kiwango duni cha pangaboi kama wenye kulaumu waanavyo shadidia juu ya hilo Ni uduni wa kiwango cha kutia aibu kwa dunia ya leo serikali kujifia kununua ndege badala ya kutengeneza Ni duni mkubwa wa mawazo wapinzani wa ununuzi wa ndege hizo akili zao kukomea kwenye kununua zimeshindwa kuvuka kwenye kutengeneza Lakini walio duni zaidi ya duni ni watakao ona kuwaza kutengeneza haiwezekani au ni jambo kubwa sana hivyo bora kuishi kwa kununua Huenda gharama ya kununua ndege hizo ingetumika kwenye hatua za utengenezaji ndege zingefikisha hatu fulani Nchi ya viwanda sio inayo nunua viwanda na kuja kuvijenga nchini kwake hiyo itakuwa soko la viwanda kutoka nchi...

tiba ya pumu

TIBA YA KIFUA CHA PUMU Wednesday, September 14, 2016 8:19 PM Kwa wenye kusumbuliwa na pumu tafuta dawa inayoitwa lufyambo chukua majani yake kiasi cha ujao wa viganja viwili chemsha katika maji lita moja na nusu weka ndimu za maji kumi iache ichemke hadi ibakie nusu lita tumia kunywa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili in shaa alla utapona            Huu ndio waitwa lufyambo Kwa maswali tiba maoni na ushauri +255 652 886 693 Whatsapp +255 685 306 407 Email. Drahmash@gmail.com

UGONJWA WA BAWASIRI {HEMORRHOIDS}

  Asalamu alaykum               ugonjwa wa bawasiri pia wajulikana kama mgoro au mjiko ni miongoni mwa magonjwa yalioenea katika ulimwengu na yenye madhara makubwa kwa maisha na afya ya mwanadamu kwa ujumla  kuna aina zaidi ya 12 za bawasiri miongoni mwazo ni; kutoka nyama katika njia ya haja kubwa [futuru] anal fissure [kuchanika katika njia ya haja kubwa ]  skin tab [kutoka kinyama kirefu kutokea ndani katika njia ya haja kubwa hasa mtu anajisaidia au kuchuchumaa external hemorrhoids [kuota kinyama pembezoni mwa mzunguko wa njia ya haja kubwa kwa nje internal hemorrhoids[kuota kinyama kwa ndan katika njia ya haja kubwa  SABABU ZA KUPATA BAWASIRI Kuingiliwa utupu wa nyuma hasa ikiwa uume ni mkubwa kuharisha kwa muda mrefu kuzaa kuinua vitu vizito kuchutama sana chooni kujikamua sana wakati wa kwenda haja kubwa kutokupata mlo kamili DALILI ZAKE Maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa au kuchuch...